Mkuu wa Shule Lugoba Sekondari!!
Mkuu wa Shule Lugoba Sekondari Abdallah Sakasa anawatakia wanafunzi wote Heri katika mitihani yao ya MOCK (Kidato cha sita), Terminal kwa kidato cha tano na Annual kwa Kidato cha kwanza na cha Tatu.
Mungu awe pamoja nanyi katika mitihani yenu
Mkuu wa Shule
A.Sakasa