TANGAZO KWA KIDATO CHA TANO, 2019/2020
- Category: news
- Published: Friday, 19 June 2020 06:48
- Written by webber franklin
- Hits: 1836
WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA TANO, 2019/2020 WATAMALIZA MUHULA WA KIDATO CHA TANO TAREHE 24/07/2020
NA TAREHE 27/07/2020 WATAANZA RASMI MASOMO YA KIDATO CHA SITA.
HIVYO KAMA UNADAIWA MWAKA WA KIDATO CHA TANO, 2019/2020
UTAPASWA KULIPIA BENKI YA NMB KWA AKAUNTI NO.21101200009
PIA KWA KIDATO CHA SITA, 2020/2021 ADA NI SHILINGI 161,000/= UTAPASWA KULIPIA BENKI YA NMB KWA AKAUNTI NO. 21101200009 NA UNATAKIWA KUJA NA RIM PAPER NA PESA TASLIMU SHILINGI 78000/= KWA AJILI YA :
- MTIHANI WA TAIFA
- MTIHANI WA MOCK
- PICHA
ABDALLAH A , SAKASA
MKUU WA SHULE
LUGOBA SEKONDARI