MKUU WA SHULE
- Category: news
- Published: Thursday, 16 September 2021 18:34
- Written by webber franklin
- Hits: 905
MKUU WA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA ANAPENDA KUWAKUMBUSHA WAZAZI
KUWA SHULE ITAFUNGuLIWA JUMAPILI TAREHE 19/09/2021. WANAFUNZI WOTE WAFIKE
KABLA YA SAA 10:00 JIONI.
NA WANAFUNZI WOTE WATAKAOCHELEWA KUFIKA SHULE WANATAKIWA KUJA NA WAZAZI.
PIA WANAFUNZI WOTE WENYE MADENI MBALIMBALI WANAOMBWA KUKAMILISHA MALIPO
HAYO AU VIFAA
MALIPO HAYO NA VIFAA NI KAMA IFUATAVYO:
- MCHANGO WA CHAKULA KWA KIDATO CHA KWANZA HADI CHA NNE
- PESA YA MTIHANI WA TAIFA , MOCK NA ADA KWA KIDATO CHA SITA
- ADA, VIFAA VYA MASOMO YA SAYANSI (STOP WATCH & DISSECTION SET)
KWA KIDATO CHA TANO.
KARIBUNI LUGOBA SEKONDARI
MKUU WA SHULE LUGOBA
ABDALLAH A. SAKASA