MKUU WA SHULE

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA ANAPENDA KUWAKUMBUSHA WAZAZI

KUWA SHULE ITAFUNGuLIWA   JUMAPILI TAREHE 19/09/2021. WANAFUNZI WOTE WAFIKE

  KABLA YA SAA 10:00 JIONI.

NA WANAFUNZI WOTE WATAKAOCHELEWA KUFIKA SHULE WANATAKIWA  KUJA NA WAZAZI.

PIA WANAFUNZI WOTE WENYE MADENI MBALIMBALI WANAOMBWA KUKAMILISHA MALIPO 

HAYO AU VIFAA

MALIPO HAYO NA VIFAA NI KAMA IFUATAVYO:

          KWA KIDATO CHA TANO.

KARIBUNI LUGOBA SEKONDARI

MKUU WA SHULE  LUGOBA

ABDALLAH  A. SAKASA