MAHAFALI KIDATO CHA NNE -2019

MKUU WA SHULE LUGOBA SEKONDARI ANAYO FURAHA KUWAKARIBISHA 

KATIKA  MAHAFALI YA 28 YA KIDATO CHA  NNE YATAKAYOFANYIKA TAREHE 19/10/2019

YAKIAMBATANA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA SHULE KUANZISHWA. 

                         " ELIMU NI HAKI YA WOTE "

                                  KARIBUNI WOTE