MAHAFALI KIDATO CHA NNE -2019
- Category: news
- Published: Thursday, 10 October 2019 05:45
- Written by webber franklin
- Hits: 1948
MKUU WA SHULE LUGOBA SEKONDARI ANAYO FURAHA KUWAKARIBISHA
KATIKA MAHAFALI YA 28 YA KIDATO CHA NNE YATAKAYOFANYIKA TAREHE 19/10/2019
YAKIAMBATANA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA SHULE KUANZISHWA.
" ELIMU NI HAKI YA WOTE "
KARIBUNI WOTE