UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA

MKUU WA SHULE LUGOBA SEKONDARI ANAWAKARIBISHA SANA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA  KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA TAHASUSI ZA PCB, PCM, CBG &HGL. SHULE IPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI YENYE KUMFANYA MWANAFUNZI AWEZE JISOMEA VIZURI.

KARIBUNI SANA 

ABDALLAH SAKASA

MKUU WA SHULE