UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA
- Category: news
- Published: Monday, 03 June 2019 05:57
- Written by webber franklin
- Hits: 2167
MKUU WA SHULE LUGOBA SEKONDARI ANAWAKARIBISHA SANA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA TAHASUSI ZA PCB, PCM, CBG &HGL. SHULE IPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI YENYE KUMFANYA MWANAFUNZI AWEZE JISOMEA VIZURI.
KARIBUNI SANA
ABDALLAH SAKASA
MKUU WA SHULE