UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA
- Category: news
- Published: Thursday, 09 May 2019 10:15
- Written by webber franklin
- Hits: 1169
Kwa niaba ya walimu wenzangu TUNAWATAKIA KILA RAHELI WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KATIKA MITIHANI YAO YA KUMALIZA ELIMU YA SEKONDARI
MUNGU AWATANGULIE NA AWAPE WEPESI KATIKA KUKUMBUKA YOTE WALIOJIFUNZA
MKUU WA SHULE
ABDALLAH SAKASA