MKUU WA SHULE

Mkuu wa Shule Lugoba Sekondari anawapongeza wanafunzi wote wa kidato cha tano waliochaguliwa kujiunga na Shule hii kwa masomo ya mwaka 2021/2022.

Shule itafunguliwa tarehe 04/07/2021,Wanafunzi wote wanatakiwa kufika shuleni mapema sana

Pia wanafunzi wote waje na mahitaji yote muhimu kama walivyoagizwa ili kuepuka usumbufu usio wa lazima

Nawatakia maandalizi mema 

MKUU WA SHULE 

Abdallah A. Sakasa