TAARIFA YA LIKIZO FUPI TAREHE 29/08/-06/09/2020
MKUU WA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA ANAPENDA KUWAPA TAARIFA WAZAZI WOTE AMBAO
VIJANA WAO WANASOMA HAPA KUWA SHULE IMEFUNGA LEO TAREHE 29/08/2020 hadi 06/09/2020.
WANAFUNZI WOTE WALOONDOKA WANATAKIWA KURUDI SHULENI TAREHE 06/09/2020 KABLA YA
SAA 10:00 JIONI. TAYARI KWA KUENDELEA NA MASOMO TAREHE 07/09/2020.
NA WALE WOTE WALIOAMUA KUBAKI SHULENI WATAFUATA TARATIBU ZOTE ZA SHULE KWA MUDA WOTE
WATAKAPOKUWA SHULENI.
WANAFUNZI WATAKAOSHINDWA KURUDI SHULENI TAREHE HIYO WANAOMBWA KUJA NA WAZAZI/ WALEZI WAO SHULENI
N.B; WANAFUNZI WOTE WENYE MADENI YA VIFAA & MICHANGO MBALIMBALI WANAOMBWA KUJA NA MICHANGO HIYO.
NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA