Mkuu wa Shule Lugoba Sekondari!!

Leo Tarehe 05/12/2018 Shule ya Sekondari Lugoba imefunga 

Nawatakia wanafunzi wote Safri njema na Likizo njema

Muwapo nyumbani msaidie Wazazi na pia muendelee kujiusomea

Likizo njema